Pakia fomu ya idhini ya mmiliki wa nyumba ikiwa unaomba kama mpangaji, chapisha fomu ya idhini mwisho wa muongozo huu
Chapisha fomu ya ombi na makubaliano ya huduma ya umeme
Soma na kukubali vigezo na masharti ya huduma ya umeme
Bonyeza/bofya tuma kwa mkandarasi kama umetumia mfumo wa utandazaji nyaya(wayaringi) kwenye jengo/eneo au bonyeza/bofya tuma TANESCO kama unatumia mfumo wa umeme tayari(UMETA).