Angalia hali ya ombi lilipofikia

Tumia visandaku hapa chini kuangalia mwenendo wa ombi lako

Hali ya ombi lilipofikia

Kuangalia hali ya ombi, fomu ya ombi lililorejeshwa kwa marekebisho, stakabadhi ya malipo, makadirio, kupakua fomu ya maombi na makubaliano ya huduma ya umeme
  •     Fuata utaratibu hapo chini
    • Ingiza namba ya ombi.
    • Ingiza namba ya simu uliyotumia wakati wa ombi.
    • Bonyeza/bofya neno Angalia hali ya ombi wakati unaomba umeme.
    • Angalia mwenendo.
    • Angalia maoni ya kurekebisha ulivyoelekezwa.
    • Rekebisha maoni pendekezwa kama yapo
  •     Boresha ombi lililorudishwa
    Kama TANESCO itarudisha ombi lako kwa ajili ya marekebisho kitufe cha kuhariri kitaonekana