Taarifa za mkandarasi kuhusu mtandao wa nyaya

Ukurasa huu unatumiwa na wakandarasi wa umeme tu kujaza maelezo ya mtandao wa nyaya wa mteja wao husika

Mkandarasi wa umeme

Chagua cha kufanya hapo chini:-.

Muongozo wa mkandarasi kuhusu mfumo wa mtandao wa nyaya

Hapo chini ni hatua utakazo fuata ili kukamilisha kujaza taarifa za mtandao wa nyaya kwa mteja wako.
  •     Ingia kwenye ukurasa wa mkandarasi.
    • Ingia kwenye mfumo kwa kutumia namba yako ya leseni kama jina la mtumiaji
    • Ingiza neno la siri
    • Ingiza namba ya ombi la muombaji
    • Ingiza namba ya simu ya muombaji aliyotumia kufanya ombi
    • Bonyeza/Bofya Endelea na Ombi
  •     Jaza maelezo ya mtandao wa waya wa muombaji.
    • Jaza maelezo ya ufungaji na mtandao wa nyaya
    • Bonyeza/Bofya tuma.
    • Pakia viambatanisho pamoja na mchoro wa mtandao wa nyaya
    • Jaza vifaa vya umeme
    • Kubaliana na tamko
    • Bonyeza/Bofya tuma na endelea tuma ombi TANESCO